Skip to content

Nursery

Thaqalayn Nursery School

TANGAZO: 'Fomu za Maombi' za nafasi za masomo mwaka huu zinapatikana Shuleni. Wahi, nafasi ni chache. Wasiliana na ofisi ya shule kwa tarehe na ada za mwaka huu.

Thaqalayn Nursery ni shule pamoja na madrassa ya kiislam ya watoto itumiayo lugha ya kiingireza katika kujifunza na kufundisha. Nafasi hutolewa kwa anayewahi kabla hazijaisha, hakuna ubaguzi wa rangi, kabila, lugha, wala dini. Watoto watawekwa katika madarasa kulingana na umri wa kila mtoto. Mwaka wa Masomo huanzia Mwezi Januari kila mwaka na kuishia mwezi Desemba, ukigawanywa katika mihula miwili. Shule huwapa watoto uji wakati wa kipindi cha mapumziko. Kila muhula shule hutoa majaribio na mitihani; kila mwaka mitihani ya mwisho wa mwaka huamua kupanda darasa. Baada ya miaka miwili mtoto hupewa cheti na anaweza kuendelea na Pre-Primary katika Dar-ul-Muslimeen Primary School kwa masharti ya interview. Upo usafiri wa basi kwa maeneo yanayofikika.

Programme Information

Age Range
3.5 – 5.5 years
Programme Duration
3 years
Standard
Aligned to Montessori-level international standards
Medium of Instruction
English (with Swahili components)
Transport
School bus service available in serviced areas.

Curriculum

  • English/Swahili phonics
  • Spoken English
  • Mathematics/numeracy
  • Environmental studies
  • Arts and crafts
  • Qur'an / Islamic studies
  • Games and songs

Gallery

Thaqalayn pupils outdoors holding their books
Thaqalayn pupils at outdoor water-play activity
A Thaqalayn teacher reading with pupils outdoors
Thaqalayn pupils practising numbers with a teacher
Thaqalayn pupils in class
Thaqalayn pupils at a classroom craft exhibition

Enrol at Thaqalayn Nursery School

Start Registration Now!